James akimfukuzia mkewe mtarajiwa Ester kabla ya ajali. Picha kwa Hisani ya Mtandao |
Monday, November 13, 2017
KISA HIKI KITAKUTOA MACHOZI
Siku ya harusi ikafika. Kila mmoja akawa makini kufuatilia nini kitatokea. Ndugu hasa wa upande wa familia ya kiume kwa akina James wakawa makini wakiwa wanafuatilia mwana wao James atafanya nini baada ya ushauri wa muda mrefu kuwa mtu aliyempenda hakuwa sahihi kwake.
About Admin
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Mapenzi na Ushauri
Labels:
Mapenzi,
Mapenzi na Ushauri
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment