Ndege ya British Airways ikiwa imevamiwa na kundi la ndge hewani muda mfupi baada ya kupaa |
Kundi la ndege walao nyama limevamia ndege yakutoka Uingereza kampuni ya British Airways na kuleta tafrani kwa marubani, wasimamizi wa ndege na abiria. Kundi hilo la ndege limeishangaza dunia kwani kwa kipindi kirefu haijawahi tokea kama hivyo.
Moja ya ndege akiwa amenasa kwenye ndege baada ya kutua |
Bawa la ndege likiwa limeharibiwa vibaya na ndege |
Hata hivyo wataalum wanatabahi kuwa huenda kutokana na ukosefu wa chakula ndiyo inaweza kuwa sababu kubwa ya ndege hiyo kuvamiwa na kundi hilo la ndege walao nyama.
Hata hivyo rubani alititumia akili ya ziada na kuweza kufanikiwa kutua kwa ndege hiyo bila kuleta madhara kwa abirua wala ndege hiyo..
Picha zaidi ziko hapa
Ndege ikiwa imeshatua salama |
No comments:
Post a Comment