STORY: STAMSAHAU FRANC
MTUNZI: Franco Samuel-0768800687
Episode #3.
Ilipoishia Episode ya 2
Mlango ulifunguka kisha akaja mwanaume wa makamo aliyeshiba vizuri. Alikuwa akitembea kimadaha na baadya ya kunifikia pale sakafuni nilipokuwa nimelala kwa dharua akaniangalia mno. Macho yake yalitisha na alionekana mwenye hasira sana. Baada ga kuniangalia na kuridhika alitikisa kichwa chake na kusema kwa jinsi nilivolegea siwezi kufaa kwa sadaka ya siku ile labda kesho. Wakati nikishusha pumzi kumshukuru Mungu kunipa nafasi ya kuishi tena, nilipigwa kofi moja kali sana, kofi hilo liliyumbisha kichwa changu na kukosa balance… nilijikuta nikidondoka kama gunia kwenye sakafu....
Songa nayoo.........
https://www.facebook.com/franco.samuel.353
Nilijitahidi kunyanyuka na kukaa kitako huku nikiweka sawa kichwa changu. Nilishika sikio la kulia na kuhisi unyevunyevu kuangalia vizuri ilikuwa damu ikinitoka. Baba yule wa makomo alifyonya kwa sauti sana na kutema mate kwa nguvu. Kwa msindo wa yale mate yalivyotua yangeweza kupasua marumaru za jumba lile. Alikuwa akiniangalia kwa dharaua, nilimshukuru Mungu kiomoyomoyo kwa kuniepusha na kifo ambacho nilikiona kabisa mbele yangu. Boss: "Tumekula hasara tayari, huyu aliyemleta atafutwe mara moja. Fanyeni upesi na inatakiwa kabla jogoo la asubuhi halijawika kazi iwe imekamilika! Kumbukeni tukienda kinyume safari hii wakuu hawatatuvumilia kabisa." Vijana:" Sawa boss tutafanya hivo!” Walijibu vijana wale kwa utii mkubwa mno huku wakiinamisha vichwa chini kwa heshima kuu. Nikiwa bado niko chini ya sakafu nikiugulia maumivu yale ya kupigwa, baba yule wa makomo Aliondoka na kuelekea kwenye moja ya chumba ndani ya lille jumba na cha ajabu nilishuhudia mlango ukifunguka wenyewe bila mtu kuufungua. Aliinama pale mlangoni kwa heshima kubwa na akasujudu kisha akafanya ishara Fulani ambayo sikuilewa vizuri na akaingia ndani mlango ukajifunga tena. Tulibaki mimi na wale vijana wanne pale sebuleni.
Mmoja wa wale vijana alichukua simu na kupiga namba Fulani. Niliendelea kuwachunguza na kugundua wote walivaa nguo nyeusi na tai nyekundu. Simu ilipokelewa na alingeo na Yule mtu huku akisisisitiza sana kuomba msamaha. Sikujua aliomba msamaha wa nini, alikuwa akiniangalia kwa jicho kali sana, ila kuna mmoja aliniangalia kwa huruma kidogo na nilpomkazia macho yangu yaliyojaa machozi na woga alionekana kuyakwepesha macho. ‘james nenda katayarishe vifaa hii imeshakuawa haramu kwani kulingana na katiba yetu mtu hatakiwi kulala huku akiwa hai” aliongea kijana Yule aliyekata simu. Sasa nilianza kuwaza kwani nilijua kifo kimeshafika tena. Jasho lilipanda sana hata sikujua kama ndio niko Iringa niliyosikai ina baridi sana. James aliondoka kwa utiifu mno. Alielekea kwenye chumba kimoja na kama kawida ya pale mlango ulifunguka wenyewe, niliskia vyombo kama vyuma vikigongana.
Mapigo ya moyo yalizidi kupanda na mlango ulifunguka tena Jamesi alitoaka na bakuli kubwa sana la kioo yaani linaonesha hadi kilichomao ndani. Nili ona kisu kikubwa na sindano. Nilihisi koo linakauka na kiu ya maji ilinijia gafla na sasa hata kulia machozi yalikuwa hayatoki kabisa. Alifika pale na kumkabidhi vile vifaa kwa heshima kubwa kisha Yule mtu akasema; “binti ulishawahi kulala na mwanaume au wewe ni bikra?” Lilikuwa swali gumu sana kwani sikujua nijibuje, ni kweli nilkuwa bikra kabisa ila sasa lipi jibu sahihi? Nilifikri kwa muda ule mfupi bila kpata jibu la haraka kwani sikujua kama ningejibu bikra ingekuwaje na kama ningejibu sina bikra ingekuwaje? Niliwaza sana lipi liwe jibu sahihi. “binti husikii nimekuuliza unaleta utani ehh?’” aliongea kwa ukali sana kiasi kuwa hadi masikio yaliumia kwa sauti yake. Kwa woga nilijikuta najibu. “Mimi ni bikra” alitabsamu na kuwanagalia wenzake kisha wakapeana mikono ya hongera. Walionekana kufurahi sana, kisha akapiga simu, “haloo bosi kumbe huyu anafaa kabisa kwa kuwa ni bikra kwa hiyo tunaweza kaubadili kipengele cha katuiba yetu” nilisikia boss wao akisema najiandaa nakuja mara moja. Haukupita mda alikuja tena akiwa na taulo tu. Niliumia sana nilijiua sasa usichana wangu nilioutunza kwa miaka mingi kwaajili ya mume wangu unaondolewa, nilijisemea ni nini kilifanya nimpende Franc? Boss alikuja kunichukua na kunipeleka chumbani, kulikuwa na kitanda kikubwa kilichotandikwa mashuka meupe.
Aliniambia ili nipone natakiwa kufanya atakachotaka nifanye, sikuwa tayari kabisa niliona bora nife ila tu nibaki na usichana wangu. Sasa mzee Yule alivua nguo zote na kubaki na boksa tu nilibaki namwangalia kwa aibu kwani umri wake ulikuwa sawa na baba yangu. Alinisogelaea na kaunza kunikumbatia, nilimsukuma kisha akanishika kwa nguvu na kunikandamiza kitandani huku akinivua nguo. Nilijitahidi kujitoa ila alikuwa na nguvu mno niliamua kuparua uso wake kwa kucha nikukumbuka vile tulivo fundishwa jeshini kuwa adui yeyote mpoteze macho aliniachia na kushikiria macho yake kisha nikasukuma kutoka kitandani hadi chini na sijui nilipat wapi ujasiri kwani niklijikuta nampiga sana huku nilikilia. Nilipiga mpaka akwa hatikisiki kabisaa “Mungu wangu nimeua” niljisemea huku nikilia niliondoka haraka na kumuacha pale chini akihema kwa mbali. Nilisogea mlangoni ili nitoke ila sikuona pa kufungulia kabisa nilishangaa haiufunguki wakati wao wakifika wenyewe unafunguka. Niliduwaa sikujua cha kufanya, niligeuka kumuangalia Yule mzee ghfla akapiga chafya na kuanza kuamka niliogopa mno ila ile tu nashangaa mlango ukafunguka. Jamesi na walewenzake wakaingia huku wakiwa na hasira. Sikuelewa walijuaje kuwa mimi nimempiga boss wao. Sasa wote walikuwa na hasira kama samba mwenye njaa ya siku nyingi.
James alininasa kibao kisha wakachukua kamba na kunifunga, moyoni nilinza kufikri pengine alikuwa ananihurumia kumbe laa, aliongezea teke la mgongoni nilihisi kupoteza nguvu kabisa. Walinitoa na kunipeleka sehemu nisiyoijua ndani ya lile jumba wakachukua majembe na kuanza kuchimba shimo. “leo unazikwa mzima mzima leo. Unathubutu kumpiga boss wetu mtukufu?” alisema kijna Yule ambaye nilidhani ni mwokozi wangu kwa alivokuwa akiniangalia mara ya kwanza sasa nilimuona muuaji mkubwa. Sikujibu kwakuwa walinifunga mdomo ili nisiongee. Nililia sana sikuona tena tumaini la kupona kwani nilikuwa nimefungwa kamba mwili mzima. Nilijisemea moyoni bora Franc alikufa kwa ajali kuliko mimi nnayezikwa mzima, niliendelea kumwomba Mungu kimoyo moyo ili atende muujiza. James alimwambia kijana mmoja kuwa akalete jeneza. Moyo wangu ulidunda kama vile unataka kuchomoka, nilihisi damu ikinuka puani na sikuwa na jinsi, jeneza lililetwa nakufunuliliwa ila lilikuwa lishatumika yaani limeliwa na mchwa na niliangalia ndani yake kulikuwa na kiwiwli cha mtu bila kichwa na damu zilitapakaa mle ndani. Tayari kaburi lili kamilika kisha wakanikamata na kuniweka ndani ya jeneza japo niljitahidi kujinasua ila sikuweza, walishusha kwenye lile kaburi kisha kuanza kufukia undogo na kutoka na ubovu wa lile jeneza mchanga mwingine ulipitiliza na kuingia ndani.
Nilimkumbuka Franc nilisali ili nikutane nae, sikuona tena tuamaini la kuopona kadri mchanga ulivozidi kutupiwa giza liliziadi kuongezeka ndani ya ile jeneza. Nililia sana, nilimkumbuka mama yangu na baba yangu nikamkumbuka Franc amabye sasa ningeenda kuungana nae huko ahera, sasa nilikuwa nakosa hewa ya kupumua mbavu zilibana na jasho liliongezeka nilihema kwa nguvu na haja ndogo ikanitoka. Mauti ilikuwa inanijia na malaika mtoa roho alikuwa amefika, “jamani nakufa huku naona, Franc nipokee nakuja mimi Irene Mpenzi wako nakupenda sana” nilijisemea…..
Je, Irene atakufa?
Kama atapona Nani atamuokoa?
Usikose simulizi hii tamu kabisa sehemu ya 4

No comments:
Post a Comment