Sunday, October 15, 2017

Magufuli afananishwa na Mugabe

ZANZIBAR: Askofu Agustino Shao amfananisha Rais Magufuli na Robert Mugabe wa Zimbabwe kwa uwajibikaji. Awataka watanzania waendelee kumuunga mkono.


- "Hatutaweza kusema tunaimaliza rushwa wakati tunaendelea kuishi kwa kupata fedha ambazo hatujazifanyia kazi. Ni lazima tuishi machungu ya kuimaliza rushwa. Ni lazima tuishi machungu ya kuweka uadilifu katika utendaji wetu" amesema Askofu Shao

No comments:

Audio