Saturday, October 21, 2017

Kabla Hujaoa Chunguza .....


Ushauri wa bure kabisa kwa vijana Kabla Hujachukua maamuzi ya kuoa ama kuolewaa!!


Kwa vijana ni vizuri kabla hujaoa/au kuolewa kuangalia na kuchinguza  Tabia za familia Unayo enda kuoa au kuolewa!

  •  Kwa Wanawake angalia tabia za baba mkwe wako huashiria na kuaksi vema tabia ya kijana wa kiume. Hata kama siyo ,100% ukweli ni kuwa tabia yake itashabihiana na Tabia ya mumeo

  • Kwa wanaume angalia Tabia za mama mkwe. Anaglia sifa zake, utulivu wake na mapendeleo yake.  Hizo ndio zitakuwa tabia  za mkeo!!

Kumbuka maji hufuata mkondo. Waliosema tuchunguzane hawakukosea. Simaaanishi kuwa ndio ukweli 100% ila nyingi zitafanania na mama au baba mzazii.  Mbuyu hauzai mchichaa!!!!!

Kumbuka kaka na dada yangu ya kuwa bora ukosee kujenga kuliko kuoa ama kuolewaaa...

Franco Samuel

Maoni ushauri

Comment hapo chini...

No comments:

Audio