MAPUMZIKO: YANGA 2-0 SIMBA, ZITAFIKA NGAPI?
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika, Yanga inaongoza magoli 2-0 dhidi ya Simba mchezo wa Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Mkapa
Walioitungua Simba mpaka sasa ni Stephane Aziz Ki kwa penati dakika ya 20 na Joseph Guede dakika ya 38
No comments:
Post a Comment