Thursday, July 21, 2022

MANARA APIGWA "STOP"

MANARA AFUNGIWA MIAKA 2
Haji Manara amefungiwa kujihusisha na soka ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili. na kutozwa faini ya shilingi milioni 20. Kamati ya Nidhamu ya TFF imemtia hatiani kwa makosa ya kimaadili.

2 comments:

Anonymous said...

keep on pushing

Franko said...

Thanks 👍

Audio