Tuesday, November 21, 2017

Mugabe ajiuzuru Rasmi

Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Mh Robert Mugabe ameandika barua ya kujiuzuru na sio raisi tena wa Zimbabwe.
Taarifa hiyo imethibitishwa na spika wa bunge la Zimbabwe ambaye amekiri kupokea barua kutoka kwa Mugabe akiomba kujiuzuru.
Hali ya mitaa ni shwari huku wananchi wengi wakionesha kushanghiIia hatua aliyoichukua Mugabe kuachia madaraka. Pia taarifa zinasema kuwa aliyekuwa makamu wake Nangagwa anapigiwa upatu na wanajeshi kukirithi kiti chake
Source BBC

No comments:

Post a Comment

Audio