Monday, November 6, 2017

Je ufanyeje ikiwa Umeoa/kuolewa na Mtu usiyempenda?

Ndoa: USHAURI KWA WALIOA AU KUOLEWA NA WATU WASIOWAPENDA... 


Wakati wengine wakifurahia utamu wa ndoa,  wapo walioko kwenye majonzi mazito na mateseko ya mioyo kwa kushindwa kuchaguaa mtu sahihi. Huenda uslishuriwa na ndugu kuwa umuoe au uolewe na fulani na wewe bila kufikirisha ubongo ukakubali.

Maumivu yake ni makubwa mno. Mateso yake hayaipimiki kwa mzani. Wapo watu wako katika hali hii. Wanatamani wapate upenyo wa kupumua angalau kidogo ila wanashindwa. Walilazimika kuoa kwakufuata mali,  utajiri, uoni hafifu nk.  Ndoa siyo mali,  furaha siyo pesa.. Ndoa siyo utajiri...

CHAKUFANYA HAPO..
Ikiwa ulioa kwa kulazimishwa au uliolewa kwa kufuata ushauri wa fulani pasi na shaka kuwa moyo wako hauko na huyo uliyenaye waweza kuanza kujifunza kumpenda na kumkubalia kama alivyo.  Kumbuka ndoa haivunjwi au kubatilishwa kirahisi.  Muombe Mungu mwema, washirikishe wataalamu wa saikolojia na mahusiano watawaimarisheni mkaishi kwa furaha na kuwa soul mate.
Wakati wenzako wakifurahi unapooa au kuolewa huenda wewe muoaji au muolewaji usiwe na furaha kabisa kwa kua unajua kinakwenda kutokea kwenye maisha yenu ya ndoa...


Km bado hujaoa/kuolewa na upo katika WIMBI zito la KUKABILI MAAMUZI ya WAZAZI.. FANYA hayaa...

Usifanye makosa ambayo wengine wanajutia. Kumbuka unaolewa wewe au unaoa wewe na ndiye utakaye ishi na huyo mtu. Yapime mashauri yao. Yaweke katika ubongo tafakari kwa kina. Ni bora wakakuchukia ila ukapata  furaha ya maisha yako kwa kuwa na mtu sahihi.  Sio kila chaguo ni sahihi,  ila chaguo la moyo wako ni sahihi zaidi.

Jaribu kuweka mzani na kupima uzito wa madai yao. Angalia kipi bora na uamue. Jifinze kukubali lawana for your own benefits and happiness in your marriage life. You shall overcome all barrier that is sign of maturity.

Sio kuwa nakufundisha uwe mkorofi, ukashindwa kutii wazazi ila pima mashauri yao. Kuna vitu vingine ni sahihi na dhahiri kiwa umepotea kabisa. Jiangalie jipime then ufanye maamuzi mwenyewe. Madhara ya kufanyiwa maamzi ni makubwa mno. Bora kulia kwa maamuzi yako kulikoni maamuzi ya wengine..

Marriage is beautiful kama utakutana na mtu wa moyo wako
Marriage is sweet ukikutana na soul mate
Nje na hapo majuto ni mjukuu na mateso ya moyo kwako..
Fanya maamuzi kwa faida yakoo
...

#wants_to_see_you_change_everytime
Franco Samuel

No comments:

Post a Comment

Audio